TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 13-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 18-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NAMAMLAKA YA AJIRAKADANAMAJINA YA WALIOITWA KAZIN
1Halmashauri ya Manispaa ya MtwaraAFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICER )1EMMANUEL VENANCE KAMSWENGA
2JENIVA RWEHABURA JOHN
3SETH OSWINO KAYOMBO
4TALITHA GABRIEL DUWAU
5VALENTINO MICHAEL MHONGOLE
6ZEBEDAYO LEONARD BARAZA
AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II)1FLAVIANA FELIX BIGGI
2HOBOKELA LUCAS MAIGE
3KASSIM SALUMU KASSIM
4SALOME RENATUS MAYALA
AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER II)1CHARLES MICHAEL MSETI
2FIDELIS THOMAS MKUDE
3PETER MASULE SENDAMA
AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)  1  DIANA ROMWARD ZEPHURINE
AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II1EMMANUEL MCHAIMWE MBONEA
2MAGRETH CLAUD KITAMBI
AFISA UVUVI DARAJA LA II (FISHERIES OFFICER GRADE II)  1  UTUKUFU ULISAJA MWAKAJE
AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)  1  GASTON SIMON MALANDAMLA
MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA I (ACCOUNTS ASSISTANT I)  1  DORCAS KASOGWE NKINZO
MTAKWIMU DARAJA LA II (STATISTICIAN II)  1  BARAKA BENONI EMMANUEL
2Halmashauri ya Wilaya ya SingidaAFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER II)  1  FARID RAMADHANI MUMBA
AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER II)1ALBINA RUTAGAHYWA ANATORY
2NURU MESHACK MOLLEL
AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II)1ATANASI JOHN AKONAAY
2DANIEL GIDEON PALINGO
3GERALD PETER MNUNDUMA
4GRACE EDSON KISABO
NAMAMLAKA YA AJIRAKADANAMAJINA YA WALIOITWA KAZIN
   5ISAKA DEVAS NKENGUYE
6LEO DANIEL MWAKALYOBI
7MAICKO KAPUFI CHARLESI
8MARIETHA VENANCE KIMARIO
AFISA MICHEZO DARAJA LA II (GAMES AND SPORTS OFFICER GRADE II)..  1  CHAUSIKU JUMA MAKABARA
AFISA MISITU DARAJA LA II (FOREST OFFICERS II)1NSUBILI ENOCK MWAKILELA
2VERIAN MAZENGO KEPHA
AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II)  1  ANNA NYANGISI NGOITANILE
AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II1CHRISTOPER JOSEPH SELELI
2NAOMBA FELICIAN MAMBILE
AFISA UTAMADUNI II (CULTURAL OFFICER GRADE II)  1  ADAM HAMIE GUMBWA
AFISA UTUMISHI DARAJA LA II (HUMAN RESOURCE OFFICER II  1  CLARA MATHEW KAOMBWE
ENGINEER II – CIVIL1EMMANUEL CHRISTOPHER MOLLEL
2GIBRON MODEST MINJA
3WILBALD LIBORI KOMBE
MTAKWIMU DARAJA LA II (STATISTICIAN II)  1  LEOCARDIA MAYUNGA SYLVERY
TECHNICIAN II (ELECTRICAL TECHNICIAN).  1  KULOLA KAFUNZO KAHINDI

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

👉 PAKUA PDF KAMILI HAPA

Author: Ajira Portal

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *