TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 12-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 10-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NAMAMLAKA YA AJIRAKADANAMAJINA YA WALIOITWA KAZIN
1Halmashauri ya Wilaya ya KalamboAFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER II)1ALOYCE GERSON NSWIMA
2ERASMO GERALD LUKOSI
3LUKA CHRISTOPHER SELEMANI
AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL OFFICER II)  1  THEREZA MAGESA VALLENCE
AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL OFFICER II).  1  TIMOTHEO ANTONY NZOBONA
ENGINEER II (ARCHITECT)1HOSEA SAMWEL SULLE
2Halmashauri ya Wilaya ya UyuiAFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER II)1DIMITRA DAVID MKINGULE
2MARGARETH EVANS MGHASE
AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER II)  1  CATHERINE JOHN KILINDIMA
AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II)1ASHA MOHAMEDI NANDULE
  2  PERIUS RAYMOND KULWIJA
AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II)1ENOS MATHIAS KISENA
  2  JANETH THOMAS MGANILWA
AFISA MAENDELEO YA VIJANA II1CONSOLATHA CHARLES MELKYOR
AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL OFFICER II).  1  ZUWENA SHEHA MJAHIDI
AFISA UGAVI MSAIDIZI II1IRENE DOMINICK MUSSA
AFISA UVUVI DARAJA LA II (FISHERIES OFFICER GRADE II)  1  KESSY JUMA KHAMIS
3Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II1ABUBAKAR SALIM MUUNGIA
2EMMANUEL MAYALA CHARLES
LIBRARIAN II1ASHURA RASHIDI NTONGORI
LIBRARY ASSISTANT II1NAOMI SAMWEL MWAKIFAMBA
4Wakala wa Vipimo (WMA)WEIGHTS AND MEASURES OFFICER II.1AMON MICHAEL KASONDE
2BASOTI OMARY SAROTA
3CHRISTOPHER FRANK MFURU
4CLEMENT CONSTANTINE MDINDILWA
5FABIAN BASIL KARERA
 
NAMAMLAKA YA AJIRAKADANAMAJINA YA WALIOITWA KAZIN
   6FERUZ HEMED FERUZ
7FLORAH NESTORY NDEGE
8HALIDI HASHIMU ALLY
9HISTON GILBERT RUTAIHWA
10IRENE JOSEPHAT AUGUST
11IRENE SEBASTIAN MULIMILA
12JUMA LULYALYA JOTTAH
13KHADIJA HAMZA HASSAN
14LAZARO HERBATI MBUJA
15LEVINA JOSEPHAT NAGABONA
16PATRICIA MASELE MAHEGA
17SALEHE HEMED KIPENGELE
18VALERIAN RICHARD MAKONDA
19WILLIAM SLADEN MAHANYU
20ZUHURA ISSA OGATA

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

👉 PAKUA PDF KAMILI HAPA

Author: Ajira Portal

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *