Health Assistants at Ajira Portal (50) position March 2025

POST MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) – 50 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-27 2025-04-07
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchukua Sampuli za Majina Chakula na kuzipeleka kwa afisa afya mazingira au afisa afya mazingira msaidizi

ii. Kutambua na kuweka kumbukumbu ya vyanzo vya maji

iii. Kuandaa ramani ya maeneo yenye uchafuzi wa maji ili kuchukua hatua zinazotakiwa

iv. Kushirikiana na kamatiza majiza vijiji, na mitaa katika kuhakikisha usalama wa vyanzo vya maji

v. Kuhamasisha jamii kulinda vyanzo vya maji

vi. Kuhamasisha jamii kujenga nakutumia vyoo bora

vii. Kusaidia kuuelimisha jamii kuhusu tabia njema za usafi

viii. Kutoa taarifa za milipuko ya magonjwa kwa mkuu wake wa kazi

ix. Kuhamasisha jamii kubuni,kupanga,kutekeleza na kusimamia mipango shirikishi jamii ya afya ya mazingira

x. Kufanya ukaguzi wa nyumba kwa nyumba

xi. Kufanya ukaguzi wa nyumba za kuishi na biashara

xii. Udhibiti wa taka hatari zikiwamo taka zitokanazo na huduma za afya

xiii. Kusimamia sheria ndogo za afya na mazingira

xiv. Kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne wenye cheti cha mafunzo ya Msaidizi wa Afya kutokachuokinachotambuliwanaSerikali

REMUNERATION TGHS A

To apply for this job please visit portal.ajira.go.tz.

Related Jobs
WhatsApp